sw_tn/jer/30/04.md

304 B

Tumesikia.

Neno "tu" lina maana ya Yahwe. Mara kwa mara hujitaja mwenyewe kwa nafisi hii ya wingi, yaani "tu."

Sauti ya kutetemesha na ya hofu na siyo ya amani.

Maana zinazowezakuwa ni 1) Watu walikuwa wakilia kwa sauti kwa sababu hapakuwa na amani" 2) "mnalia kwa sauti ..kwa kuwa hakuna amani."