sw_tn/jer/27/19.md

293 B

Nguzo, bahari, na kitako.

Hivi vilikuwa vifaaa ambavyo vilikuwa hekaluni. "Bahari," lilikuwa beseni la chuma iliyoyeyushwa.

Yehoyakimu.

Maandishi ya Kiebrania yanasema "Yekonia," huu ni utofauti wa jina "Yehoyakimu" ili kuweka wazi kuwa huyu ni mfalme mmoja anayetajwa kwa majina haya.