sw_tn/jer/26/22.md

330 B

Maelezo ya jumla:

Uria alikufa kifo cha kinabii katika Yerusalemu.

Maiti.

"Mwili uliokufa."

Mkono wa Ahikamu.

Ahakimu alimsaidia Yeremia na kumlinda.

Elnathani mwana wa Achbori ... Ahikamu mwana wa Shapni.

Haya ni majina ya kiume.

Hivyo hakutiwa mikononi mwa watu ili wamuue.

"Kwa hiyo watu hawakuweza kumuua."