sw_tn/jer/25/32.md

447 B

Angalia

"Jihadharini na hii!" Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 5:14

dhoruba kubwa itatokea toka pande za mwisho za dunia

"uharibifu unakuja"

watakuja kutoka upande mmoja wa dunia hadi mwingine

"je, siku hiyo itafunika dunia nzima"

Watakuwa kama samadi chini.

Maana iwezekanavyo ni 1) kulikuwa na watu wachache au hakuna watu waliokubali kuzika wale ambao Bwana aliwaua au 2) kulikuwa na ukosefu wa wasiwasi wa miili ya wafu.