sw_tn/jer/18/18.md

788 B

tufanye njama dhidi ya Yeremia

"hebu tufanye mipango ya kumdhuru Yeremia"

maana sheria haitapotea kabisa kwa makuhani, wala ushauri kutoka kwa wenye hekima, au maneno ya manabii

"makuhani watawa na sheria daima, watu wenye busara watawapa ushauri daima, na manabii daima watazungumza"

shambulie kwa maneno yetu

"sema mambo ambayo yatamdhuru"

Nisikilizeni

Hapa Yeremia anaanza kuzungumza na Bwana.

Je, maafa kutoka kwao itakuwa malipo yangu kwa kuwa mema kwao?

Yeremia anauliza swali hili kusisitiza kwamba vitendo vyema havipaswi kulipwa kwa mambo mabaya. AT "Maafa kutoka kwao hawapaswi kuwa tuzo yangu kwa kuwa mazuri kwao."

wamenichimbia shimo

"chimba shimo kunipiga na kuniua"

ili kusababisha hasira yako kugeuka mbali nao

"ili usiwaadhibu kwa hasira yako"