sw_tn/jer/14/07.md

469 B

Taarifa ya jumla

Bwana, kupitia nabii Yeremia, anazungumzia kuhusu uzinzi wa watu.

kwa ajili ya jina lako

"ili kila mtu aweze kuona kwamba wewe ni mzuri sana na unaweka ahadi zako."

tumaini la Israeli

Hii ni jina jingine kwa Bwana.

yeye anayemwokoa

"mwokozi" au "yule anayemwokoa"

kwa nini utakuwa kama ... kama shujaa ambaye hawezi kuokoa mtu yeyote?

Neno "kama" hapa linamaanisha "sawa na."

aliyechanganyikiwa

hawawezi kuelewa au kufikiri wazi