sw_tn/jer/11/14.md

864 B

Kwa hiyo wewe ... kwa niaba yao

Tafsiri hii kwa njia ile ile uliyetafsiriwa "Na wewe ... kwa niaba yao" katika 7:16.

Lazima usiomboleze

"Usifanye kilio kikubwa cha huzuni"

Mpendwa wangu anafanya nini nyumbani kwangu?

Swali hili linaweza kufanywa kama taarifa ya kukemea. "Mpendwa wangu, ambaye amekuwa na nia mbaya sana, haipaswi kuwa nyumbani kwangu."

Mpendwa wangu anafanya nini nyumbani kwangu?

Kifungu hiki kwa Kiebrania ni ngumu sana, na matoleo mengi yanatafsiri kwa njia tofauti.

nyumba

hekaru

mpendwa wangu

Watu wa Israeli wanazungumzwa kama kwamba walikuwa mwanamke mmoja aliyependwa sana.

Katika siku za nyuma Bwana alikuita mti wa mzeituni wenye majani

Katika Agano la Kale, watu mara nyingi walitamka kama miti au mimea

atawasha moto juu yake

Maneno haya yanaendelea mfano wa mti. Moto unasimamia kama uharibifu wa watu.