sw_tn/jer/09/21.md

904 B

Taarifa kwa ujumla

Haya ni maneno ya BWANA juu ya nyumba ya Yuda.

Kwa kuwa vifo vimekuja kupitia dirishani

BWANA anasema kuwa BWANA atakapowaangamiza watu wa Israeli watalinganisha kifo na mtu anayeingia kuptia dirishani kwa lengo la kuangamiza watu waliojificha ndani yake

mahali petu

Nyumba zenye maboma ambapo wafalme huishi. Kifo kinachokuja kwa tajiri na masikini kinafanana.

vinaharibu watoto kutoka nje

"Kifo kinaua watoto mitaani."

na vijana kweye viwanja vya mji

"na kifo kinaua vijana kwenye viwanja vya mjij."

viwanja vya mji

"maeneo ya maasoko"

asema BWANA

Tazama 1:7

mizoga ya wanaume itaanguka mavi kwenye mashamba, na kama mabua baadaya mvunaji

"maiti zitatapakaa maeneo yote."

na kama mabua baada ya mvunaji

"na kama mabua yaangukapo kila mahali baada ya mkulima kuyakata."

na hapakuwa namtu wa kuyakusanya

"na hapatakuwa namtu wa kukusanya maiti"