sw_tn/jer/09/19.md

681 B

Taarifa kwa ujumla

Haya ni maneno ya BWANA juu ya watu wa Yuda

Kwa kuwa sauti ya kilio imesikika Sayuni

"Watu wanalia kwa sauti Yerusalemu"

Jinsi tulivyoharibiwa

"Tunasikitika sana"

Tumeaibishwa sana, kwa kuwa tumeitelekeza nchi tangu walipoangusha nyumba zetu

"aibu yetu ni kubwa, kwa sababu adui wameharibu nyumba zetu, na tulipaswa kuiacha nchi ya Israeli"

sikieni neno la BWANA zingatieni ujumbe unaokuja toka kinywani mwake.

Sentensi hizi mbili zinasisitiza amri ya kusikiliza kile ambacho BWANA anasema.

Kisha wafundisheni binti zenu wimbo wa maombolezo, na kila mwanamke wa jirani wimbo wa kilio.

Kisha wafundisheni watu wengine jinsi ya kuomboleza."