sw_tn/jer/08/14.md

642 B

Taarifa kwa ujumla

BWANA anaendelea na ujumbe wake kwa kutuambia kile watu wa Yuda watakachosema wakati huo wa adhabu.

Kwa nini tunakaa hapa

"Hatupswi kukaa hapa."

Njono pamoja; twendeni kwenye hiyo miji yenye maboma

Tazama 4:4

miji yenye maboma

"miji yenye kuta imara na askari wa kuilinda

na tutakaakimya kule katika kifo

"nasi tutafia huko"

BWANA Mungu wetu atatunyamazisha

"kwa sababu BWANA Mungu wetu atatuua"

Atatufanya tunywe sumu

"Ataufanya tunywe sumu" inamaanisha hukumu ya Mungu.

lakini tazama, kutakuwa na

"lakini eleweni, kutakuwana"

lakini hakutakuwa na jema

"lakini hakna jema litakalotokea"