sw_tn/jer/07/12.md

274 B

Taarifa kwa ujumla

BWANA anaendelea kumwambia Yuda kupitia kupitia kwa nabii Yeremia

kwa hiyo uende

"kwa hiyo ukumbuke" au "tafakari"

kwa hiyo sasa kwa sabasbu ya matendo yako haya yote

"kwa sababu ulikuwa unafanya mambo haya yote"

mara kadhaa

"tena na tena"