sw_tn/jer/03/23.md

282 B

Uongo hutoka kwenye vilima

Watu hutegemea mwongozo na kutoka kwenye ibaada za sanamu lakinni huambulia uongo

Na tulale chini kwa aibu. Aibu yetu na itufunike

"Acha tuaibike kabisa"

Wakati wa ujana wetu

"kuanza kwa taifa"

Sauti ya BWANA

"kile ambacho BWANA asemacho"