sw_tn/jer/02/12.md

282 B

Sitajabuni, enyi mbingu kwa sababu ya hili! Tetemekeni na kuogopa

Msemamaji anageuka na kuziambia mbingu kama vile anaongea na mtu.

wameziacha chemichemi za maji

"wameniacha mimi, chemichemi yao"

kwa kuchimba mabirika kwa ajili yao

"kwa kuabudu miungu isiyokuwa chochote