886 B
886 B
Maelezo ya Jumla:
Nukuu hii ya kinabii inatoka katika Zaburi ya Mfalme Daudi.
yeye anaye dhabihu
yeye anayewafanya wenzake watakatifu" au " "yeye awafanyae wengine kujtenga na dhambi"
walio takaswa
Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji: AT: "wote anao wafanya watakatifu" au" wale anaowasafisha kutoka katika dhambi.
kuwa na chanzo kimoja
ambaye ni chanzo hicho ni nani inaweza kusemwa kwa ufasaha. AT: "muwe na chanzo, Mungu mwenyewe" au" muwe na yule yule.
haoni aibu
"Yesu haoni aibu"
haoni aibu kuwaita ndugu
maneno mawili hasi yanamaanisha atawafanya kama ndugu zake. AT: "anafurahishwa kuwaita ndugu"
Nitalitangaza jina langu kwa ndugu zangu
"Jina" hapa linamaanisha heshima ya mtu na kile walichokifanya. AT: "Nitatangaza kwa ndugu zangu mambo makuu uliyoyafanya"
kutoka katika asili/ kundi moja
"wakati waumini wanakuja pamoja kumwabudu Mungu"