sw_tn/hag/02/18.md

354 B

siku ya ishirini na nne katika mwezi mwezi wa tisa

siku ya nne ya mwezi wa tisa * _ tazama ulivyoitafsiri hii.

je, bado kuna mbegu katika ghala?

Jibu lililotarajiwa ni "Hapana" hili swali lilitumika kuonyesha wasomaji kile walikuwa wanakijua.

mti wa mtini, komamanga, na mti wa mzeituni

Haya ni matunda yaliyokuwa yanalimwa katika ardhi hiyo.