sw_tn/ezr/04/20.md

1013 B

Mji ngambo ya mto

Hili ni jina la mji ambalo liko magharibi ya mto efrati. Ilikuwa kuvuka mto kutoka mji wa Susa. Tafsiri kama katika 4:9

Ada na kodi walilipwa wao

hii inaweza kutafsiriwa katika mfumo hai. AT:'Watu katika Yerusalem walilipa ada na kodi kwa wale wafalme" au "Wale wafalme waliweza kukusanya ada na kodi"

kuweka agizo

"kuweka amri"

Uwe mwangalifu usipuuze hili

"Uwe mwangalifu kufanya hili"

Kwa nini kuruhusu tishio hili kuongezeka na kusababisha hasara kwa matakwa ya mfalme?

Artashasta alitumia swali kuwaambia wao kwamba anafahamu ya kuwa atapoteza kodi na heshima ikiwa mji utajengwa. AT:"Unapaswa kuhakikisha kwamba hili tishio halikuhi na kusababisha hasara zaidi kwa matakwa ya ufalme"

tishio kukua

Hatari imeongelewa kana kwamba ulikuwa mmea ambao ungekuwa na kuongezeka kwa kimo. AT:"hatari ya kuja kuwa balaa"

kusababisha hasara zaidi kwa matakwa ya ufalme

neno "matakwa ya ufalme" ni msemo kwa mfalme mwenyewe. AT:"kusababisha mabaya mengi kutokea kwa mfalme"