777 B
777 B
watu katika nchi
"watu ambao walikuwa wakiishi katika nchi wakati ule" ambao ilihusisha wasio wayahudi na wayahundi ambao jamii haikuchukuliwa na Wababeli kifungoni
wakaifanya mikono ya wayahudi kudhoofika
wakawavunja nguvu wayahudi
Wayahudi
watu waliorudi kutoka Babeli na wakaweka makazi katika nchi ya Yuda
kuvuruga mipango yao
"ili kutimiza hilo wayahudi hawakujenga hekalu kama walivyokuwa wamepanga.
waliandika mashitaka dhidi ya wenyeji wa Yuda na Yerusalem
jina "mashitaka" inaweza kutafsiriwa kama kitenzi "kushitaki" na kitendo "kuishi ndani" kuheshimika. Inakupasa kufanya uchunguzi kitu gani ambacho maadui waliwashitaki wayahudi kwa walichokifanya. AT: "waliandika barua ambayo waliwashitaki wale walioishi Yudana Yerusalem kwa kutomtii mfalme"