653 B
653 B
Habaya....Hakosi....Barzilai
majina ya wanaume
kumbukumbu ya kizazi chao
kumbukumbu ambayo ilielezea watangulizi walivyokuwa
hawakuweza kupatikana
"hawakuweza kuyaona majina yao katika kumbukumbu ya makuhani"
waliweza kutolewa kutoka kwa makuhani kama wasiosafi
Hii inaweza kutafsiliwa katika mfumo hai. Majina "Ukuhani" linaweza kutafsiliwa kama kitenzi "kazi kama ya kuhani." AT: makuhani wengine waliwachukulia wao kama wasio safi hawakuwaruhusu kufanya kazi kama makuhani"
wasiosafi
kutokuwa sawa kuwa kuhani
Urimu na Thumimu
vitu viwili kama dai ambavyo kuhani alivitumia kuamua kitu gani ambacho Mungu anataka wao wakifanye