sw_tn/ezr/02/19.md

405 B

Taarifa kwa ujumla

Hii inaendelea na orodha ya majina ya watu ambao walirudi kutoka mateka pamoja na idadi ya kila kikundi

Hashimu.....Gibeoni

Haya ni majina ya wanaume

tisini-tano.......hamsini-sita

tano........hamsini-sita - "95......56"

Wanaume wa Bethlehemu

Hii inaanza orodha ya idadi ya watu ambao watangulizi wao waliishi katika mji wa Yuda

Netofa

Hii ni jina la mji katika Yuda