"hii nchi ni malimbuko." Hapa "malimbuko" huenda inamaanisha vitu bora miongoni mwa sadaka zote zilizowekwa pembeni kumtolea Mungu.