Neno "yenu wenyewe" ni wingi na linarejea kwa watu wa Israeli.
Tazama jinsi ilivyo tafsiriwa katika sura ya 21:6.
Tazama jinsi livyo tafsiriwa katika sura ya 5:11.