sw_tn/ezk/47/15.md

513 B

Hethloni

ni jina la mahali ambapo palikuwa na njia ndogo za kaskazini na mashariki mwa Tripoli.

Zadadi

ni jina la mji katika Lebanoni ambao ulikuwa katika sehemu moja ambayo ni Sadai kwa sasa.

Barota

ni sehemu katika Lebanoni ambayo ipo kusini kidogo mwa Baalbeki ilipo

Sabraimu

ni sehemu kati ya Damskasi na Hamathi

Hazeri Hatokoni

ni sehemu ilikuwa karibu na kati ya Damaskasi na Haurani

Haurani

Hii ni sehemu ya mashariki mwa Bahari ya Galilaya.

Hazari Enoni

ni sehemu katika Siria.