"ambao ulikuwa malango yao makuu kuelekea kaskazini"
Neno "tazama" hapa linaonyesha kwamba Ezekieli aliona kitu kinacho vutia.
Tazama jinsi ilivyo tafsiriwa katika sura ya 10:3.