sw_tn/ezk/45/18.md

476 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia ezekieli ujumbe wake kwa wana mfalme wa Israeli.

Katika mwezi wa kwanza, siku ya kwanza ya mwezi

Huu ni mwezi wa kalenda ya Kiebrania.

utachukua

Neno "uta" ni umoja na linarejea kwa yeyote aliye mwana mfalme katika Israeli.

katika saba ya mwezi

"siku ya saba ya mwezi wa kwanza"

kwa dhambi ya mtu yeyote kwa ajali

"kwa kila mtu aliyefanya dhambi bila kukusudia"

au upuuzi

"au aliasi kwa sababu hakujua vyema"