sw_tn/ezk/44/20.md

512 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa nyumba ya Israeli kuhusu uzao wa Zadoki ambao ulitumika kama makuhani.

nyoa

kata nywele za mtu kuwa fupi ili iwezekane kuona ngozi ya kichwa

punguza nywele za vichwa vyao

"kata nywele juu ya vichwa ili ziweze kuwa ndefu au ndefu wala fupi"

mjane

mwanamke ambaye amefiwa na mume wake

kutoka kwenye mstari wa nyumba ya Israeli

"ambaye uzao wake ni watu wa Israeli"

nyumba ya Israeli

Tazama tafsiri yake katika sura ya 3:1