sw_tn/ezk/44/15.md

361 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekili ujumbe wake kwa Israeli.

hao wana wa Zadoki waliokamilisha

"ambao ni uzao wa Zadoki na kukamilisha"

walipokuwa mbali nami

Hili neno linamaanisha "kuacha kumsikiliza na kunitii."

watakuja karibu nami

"watanikaribia"

hili ndilo tangazo la Bwana Yahwe

Tazama tafsiri yake katika sura ya 5:11.