sw_tn/ezk/41/15.md

268 B

juu

"ubaraza wa ghorofa." Ubaraza wa ghorofa palikuwa mahali palipokuwa pamejengwa juu kuliko sehemu nyingine za jengo. Watu wanaweza kwenda kwenya ubaraza wa ghorofa na kutazama chini upande wa sakafu ya jengo.

varanda

Tazama tafsiri yake katika sura ya 8:16.