sw_tn/ezk/39/17.md

320 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia ujumbe wake kwa ndege na wanyama wa porini.

kwenye sadaka

"kwenye karamu" au "kuchinja" Yahwe alimaanisha kwamba atawapatia ndege na wanyama chakula kizuri na sio kuwaabudu.

wote walikuwa wanene katika Basheni

"wote wakawa wanene wakati wakiwa wanachunga Basheni."