sw_tn/ezk/36/26.md

586 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa Israeli.

moyo mpya na roho mpya

Tazama tafsiri yake katika sura ya 11:19.

katika sehemu zenu za ndani

"ndani yenu"

moyo wa jiwe

Hii inalinganishwa na mioyo ya ukaidi na moyo wa jiwe.

nyama zako

"mwili wako"

mwili wa nyama

Huu ni moyo ambao sio mkaidi, lakini unatamani kumtii Mungu.

tembea katika maagizo yangu

Tazama tafsiri yake katika sura ya 11:9.

tunza maagiza yangu, hivyo utawafanya

"utayashika maagizo yangu na kuyafanya"

watu wangu

Tazama tafsiri yake katika sura ya 11:19