sw_tn/ezk/36/24.md

202 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa Israeli.

nyunyiza maji masafi

"kupitia maji masafi"

kutoka kwenye uchafu wako wote

"mambo yote yanayokufanya kuwa najisi"