sw_tn/ezk/36/07.md

412 B

Maelezo ya Jumla:

Huu ni mwendelezo wa ujumbe wa Yahwe kwa mataifa ya Israeli.

Mimi mwenyewe nitainua mkono wangu kuapa

"mimi mwenyewe nitainua mkono wangu kuapa" Kuinua mkono inaonyesha kwamba kweli atafanya kile alicho kiapia'

kwamba mataifa yanayowazunguka yamkini yatawabebea aibu yao

"yamkini watu wakawadhihaki mataifa yaliyokuzunguka"

kuzunguka

Neno "wewe" linarejea kwa milima ya Israeli.