sw_tn/ezk/36/04.md

1.1 KiB

Maelezo ya Jumla:

Huu ni mwendelezo wa ujumbe wa Yahwe kwa milima ya Israeli.

sikiliza neno la Bwana Yahwe

Tazama tafsiri yake katika sura ya 6:1.

mahali palipoharibika kuwa ukiwa

"miji mikiwa ambayo hakuna watu wanaoishi katika hiyo"

miji iliyoachwa

"miji ambayo watu wamiacha nyuma"

imekuwa mateka

"hao maadui wamepotea"

huru kwa kutaniwa na mataifa yaliyowazunguka

"ambayo wengine, wanayoyazunguka mataifa wanadhihaki"

katika ghadhabu ya moto wangu

Yahwe anaipenda Israeili sana, hivyo amekuwa na wivu na hasira wakati mataifa mengine wanapoidhihaki.

juu ya Edom na wote

"na juu ya Edom yote"

wote walikuwa na shangwa katika moyo wao na dharau katika roho zao

"wameitukana watu wako Israeli.

shangwe katika moyo wake

"kwa shangwe katika mioyo yao"

dharau katika roho zao

inaonyesha kwamba dharau yao ni kwa ajili ya Israeli.

Tazama!

Neno "Tazama" hapa linaongeza msisitizo kwa kile kifuatach.

Katika ghadhabu yangu na hasira yangu

Maneno "ghadhabu" na "hasira" kimsingi yana maana moja. Yote yanasisitiza mkazo wa hasira.

mmechukua fedheha za mataifa

"mataifa mengine yamekufedhehesha"