sw_tn/ezk/36/01.md

833 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kunena na Ezekeili. Sasa ujumbe wake ni kwa milima ya Israeli.

mwanadamu

Tazama tafsiri yake katika sura ya 2:1.

tabiri juu ya milima ya Israeli

Mungu anamtaka Ezekilei kunena na milima kana kwamba walikuwa watu.

Enhe

Hii inaonyesha shangwa. Inaweza kutafsiriwa kama "nina furaha sana"

Mahala pa juu pa zamani

Hii inarejea kwa milima mirefu ya Israeli.

imekuwa milki yetu

"sasa ni mali yetu"

Kwa sababu ya ukiwa wenu

"Kwa sababu ninyi milima mmekuwa ukiwa"

kwa sababu mashambulizi yaliyokuja juu yenu kutoka pande zote

"kwa sababu mliishambulia kutoka kila mahali"

mmeambiwa kwa midomo yao waongeao, na kwa masingizio ya watu

"watu wanasema mambo mabaya kuhusu wewe, na mataifa wanasema hadithi mbaya kuhusu wewe"

midomo ya uzushi na ndimi

"maneno ya uzushi"