sw_tn/ezk/35/14.md

623 B

Maelezo ya Jumla:

Huu ni mwendelezo wa ujumbe wa Yahwe kwa watu wa Mlima Seiri.

Bwana Yahwe asema hivi

Tazama tafsiri yake katika sura ya 3:10.

kufanya ukiwa

Neno "wewe" linarejea kwa "mlima Seiri ambao unawakilisha nchi ya Edomu. "nitaifanya nchi yako ukiwa."

nitakavyokutenda wewe

"nitaifanya nchi yako ukiwa" au "nitafanya shangwe wakati nchi yako ikiwa ukiwa"

Mlima Seiri

Tazama jinsi ilivyo tafsiriwa katika sura ya 35:1.

Kisha watajua

Neno "wao" yamkini linarejea kwa "watu wa dunia" au "watu wa Israeli na Yuda."

watajua kwamba mimi ndimi Yahwe

Tazama ilivyo tafsiriwa katika sura ya 6:6.