sw_tn/ezk/35/10.md

632 B

Maelezo ya Jumla:

Huu ni mwendelezo wa ujumbe wa Yahwe kwa watu wa Milima Seiri.

Umesema

Neno "Wewe" linarejea kwa mlima wa Seiri ambao unawakilisha taifa la Edomu.

na sisi

Neno "sisi" linarejea watu wa Edomu.

hata wakati Yahwe alipokuwa pamoja nao

Inaonyesha kwamba Yahwe alikuwa akiilinda Israeli na Yuda. "Lakini Yahwe alikuwa huko akiilinda Israeli na Yuda"

kama niishivyo

Tazama jisni ilivyo tafsiriwa katika sura ya 5:1.

hili ndilo tangazo la Yahwe

Tazama tafsiri yake katika sura ya 5:11.

itafanya kulingana na hasira yako na kulingana na wivu wako

"nitakuadhibu kwa sababu ya hasira yako na wivu"