sw_tn/ezk/35/07.md

578 B

Maelezo ya Jumla:

Huu ni mwendelezo wa ujumbe wa Yahwe kwa Mlima Seiri.

wakati nitakapoukatilia mbali kutoka huo yeyote apitaye na arudiye tena

"nitamwangamiza kila auingiaye au kuuacha"

waliouawa kwa upanga

Tazama jinsi ilivyo tafsiriwa katika sura ya 31:17.

mkiwa daima

"ukiwa daima" Hii ni kutia chumvi kusisitiza uharibifu.

Miji yako haitakaliwa

"watu hawataishi katika miji yako"

lakini mtajua

Hapa "ninyi" ni wingi. Mungu ananena na watu wa Mlima Seiri, kuliko na mlima mmoja.

mtajua kwamba mimi ni Yahwe

Tazama tafsiri yake katika sura ya 6:6.