sw_tn/ezk/35/04.md

807 B

Maelezo ya Jumla:

Huu ni mwendelezo wa ujumbe wa Yahwe kwa watu wa Mlima Seiri.

utajua yakwamba mimi ndimi Yahwe

Tazama tafsiri yake katika sura ya 6:6.

umewatoa kwenye mikono ya upanga

"umewatoa juu ya maadui zao waliowaua kwa upanga" au "umewaua kwa upanga"

wakati adhabu yao

"katika kipindi wakati walipokuwa katika janga"

kama niishivyo

Tazama jinsi ilivyotafsiriwa katika sura ya 5:11.

hili ndilo tangazo la Bwana Yahwe

Tazama tafsiri yake katika sura ya 5:11.

nitakuandaa kwa ajili ya damu

"nitakuandaa kwa kuipoteza damu yako." Hii inarejea kwa kujeruhuwa au kuuawa.

damu itakufuatilia

Yahwe anawakilisha damu kama mtu ambaye angewafukuza. "maadui zako wataendelea kukuchinja"

Kwa kuwa hukuichukia damu

"Tangu ulipoichukia wakati watu wengine walipouawa kikatili."