sw_tn/ezk/35/01.md

651 B

neno la Yahwe likaja

"Yahwe akanena neno lake."

Mwanadamu

Tazama tafsiri yake katika sura ya 2:1.

weka uso wako juu ya

Tazama tafsiri yake katika sura ya 4:1.

Mlima Seiri

"mlima Seiri." huu unarejea kwa wtu walioishi katika Edomu kwa sababu waliishi katika mlima Seiri. "watu wa Edomu"

kwa huo

"mlima" au "watu wa Edomu"

Tazama!

Neno "Tazama hapa linaongeza msisitiza kwa kile kifuatacho.

ni juu yako

Tazama tafsiri yake katika sura ya 21:1.

nitakupiga kwa mkono wangu

"nimeunyoosha mkono wangu juu yako." Hii inamaanisha "ni karibu kukushambulia."

ukiwa na tishio

Tazama jinsi ilivyo tafsriwa katika sura ya 33:27.