sw_tn/ezk/34/30.md

229 B

mimi, Yahwe Mungu wao, niko pamoja nao

"mimi, Yahwe Mungu wao, ninawasaidia"

Ni watu wangu

"na ni watu wangu"

hili ni tangazo la Yahwe

Tazama tafsiri yake ktika sura ya 5:11.

nitakuwa Mungu wako

"ndimi Mungu wako"