sw_tn/ezk/34/25.md

787 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa watu wa Israeli.

agano la amani

"agano lile liletalo amani"

wanyama waovu wa porini

Hawa ni wanyama wa porini ambao waliwaua kondoo na mbuzi.

Pia nitaleta baraka juu yao na juu ya maeneo yazungukao kilima changu

Baadhi ya matolea ya kisasa yanatafsiri "pia nitawarudisha na maeneo yanayozunguka kilima changu kwenye baraka."

katika wakati wake

"kwa wakati sahihi"

Hizi zitakuwa mvua za baraka

"Hii mvua itatolewa kama baraka"

na dunia itashindwa kuzaa matunda yake

"nchi itaotesha chakula" Chakula kitamea juu ya nchi

wataokoka

"watakuwa salama"

watajua yakwamba mimi ndimi Yahwe

Tazama tafsiri yake katika sura ya 6:6.

fito za kongwa zao

"fito zinazoshikilia kongwa zao pamoja"