sw_tn/ezk/34/17.md

544 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake. Sasa ni watu wa Israeli.

tazama

Neno "tazama" hapa linaongeza msisitizo kwa kile kifuatacho.

nitakuwa hakimu kati ya kondoo

"nitakuwa hakimu kati ya kondoo, kondoo dume, na mbuzi"

kondoo dume na mbuzi dume

Kondoo dume na mbuzi huwa ni shupavu katika mifugo na wanaweza kufika popote watakapo kutoka wanyama wengine katika mifugo.

Haitoshi ... miguu

Huu ni mwanzo wa swali ambalo Mungu anatumia kukaripia wale shupavu kwa sababu si wakarimu kwa wale wadhaifu.