sw_tn/ezk/34/07.md

708 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa watu wa Israeli.

tangazo la Yahwe

Tazama tafsiri yake katika sura ya 5:11.

Kama niishivyo

Tazama tafsiri yake katika sura ya 5:11.

hivi ndivyo Bwana Yahwe asemavyo

Tazama tafsiri yake katika sura ya 5:11.

kwa sababu kundi langu limekuwa mateka na chakula kwa ajili ya wanyama katika mashamba

"kwa sababu wanyama katika shamba wamekuwa wakiiba kundi langu na kuwala"

mateka

"vitu vilivyopotea.

wanyama katika mashamba

"wanyama wa porini"

kwa sababu hapakuwa na mchungaji

"kwa sababu hawana mchungaji"

wanajichunga wenyewe

"wanajichunga wenyewe"

hawakulilisha kundi langu

"hawakulilisha na kulichunga"