sw_tn/ezk/33/30.md

404 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kunena na Ezekili

Mwanadamu

Tazama tafsiri yake katika sura ya 2:1.

ile itokayo kutoka kwa Yahwe

"ile Yahwe aipelekayo"

Maneno ya hako hapo juu ya vinywa vyao

"maneno ya upendo yapo katika vinywa vyao"

mioyo yao inafuata udhalimu kwa faida yao

"katika mioyo yao wanataka kujipatia udhalimu" au "wanataka kujipatia vitu katika njia ambazo si sahihi."