sw_tn/ezk/33/27.md

1.2 KiB

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kunena na ezekieli kuhusu watu waliokuwa wakiishi katika uharibifu wa Israeli.

Kama niishivyo

Tazama tafsiri yake katika sura ya 5:11.

anguka kwa upanga

Tazama tafsiri yake katika sura ya 5:11.

walio katika ngome na katika mapango watakufa kwa tauni

"tauni itawaua watu waishio katika ngome na mapango"

ngome

Ngome ni jengo ambalo watu hujenga kujilinda wenyewe na maadui wanao washambulia.

mapango

Mapango ni mashimo ya asili katika upande wa mlima au ndani ya aridhi.

na tishio

"Tishio" ni kitu ambacho kinwafanya watu kuogopa sana wanapokiona. "na watu wataogopa sana kwa sababu ya hiyo"

kiburi cha uweza wake kitaisha

Neno "yake" linarejea kwa nchi, ambayo inarejea kwa watu wa nchi. "watu wa nchi hawatajiinua tena kwamba wako hodari."

milima ya Israeli itakuwa jangwa

"hakuna atakayeishi katika milima ya Israeli"

hakutakuwa na mtu wa kupitia miongoni mwao

"hakutakuwa na yeyote atakaye achwa kusafiri kupitia kwenye nchi au juu ya milima"

mtajua yakwamba mimi ni Yahwe

Tazama tafsiri yake katika sura ya 6:6.

wamemaliza

"watu wamemaliza"

machukizo yote waliyafanya

"mambo yote waliyafanya ninayachukia"