sw_tn/ezk/33/07.md

657 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kunena na Ezekieli.

nyumba ya Israeli

Tazama tafsiri yake katika sura ya 3:1.

kutoka kwenye kinywa changu

"kutoka kwangu."

waonye badala yangu

"waonye kama muwakilishi wangu"

usitangaze hivi

"usiseme hivi"

kuhusu njia yake

"jinsi anavyotenda"

atakufa katika dhambi yake

Hii inaonyesha kwamba Mungu atasamehe dhambi za huyu mtu.

taka damu yake kutoka mkono wake

Tazama jinsi ilivyo tafsiriwa katika sura ya 3:16.

asipogeuka kutoka njia yake

"hataacha kutenda njia yake mbaya" au "hataacha kufanya mambo yake mabaya"

wewe mwenyewe utakuwa umeokoa maisha yako

"utajitunza mwenyewe hai"