sw_tn/ezk/32/30.md

412 B

Mwana mfalme wa kaskazini

"Wana mfalme waliotawala mataifa katika kaskazini"

wapo huko

"wapo katika Sheoli"

kwenda chini

"kwenda chini hata Sheole"

pamoja na maiti

"pamoja na wale waliokuwa wameuawa"

ambao waliokuwa wameuawa kwa upanga

"waliokuwa wameuawa kwa upanga"

Wamebeba aibu yao wenyewe, pamoja nao waendao kwenye shimo

"wamebeba aibu yao wenyewe, pamoja na wale wanaokwenda chini"