sw_tn/ezk/32/24.md

1.1 KiB

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kunena na Ezekieli kuhusu mataifa katika Sheole.

Elamu yupo huko

Hapa "Elamu" linarejea kwa watu wa hiyo nchi. "Watu wa Elamu pia wapo huko katika Sheoli"

watumishi wake

watu wake wengi au jeshi lake.

Makaburi yake yamemzunguka

Tazama tafsiri yake katika sura ya 32:22.

wote waliuawa

"Hapa maadui waliwaua wote"

Wale walioanguka kwa upanga

"walio anguka kwa upanga" katika 32:22.

waliokwenda chini wasiotahiriwa

"ambao walikuwa hawajatahiriwa wakati waliposhuka chini"

sehemu ya chini kabisa ya nchi

"sehemu za chini kabisa katika aridhi"

aliwaleta mashujaa wao juu ya nchi ya walio hai

Tazama tafsiri yake katika sura ya 32:22.

Wameweka vitu vya kitandani kwa ajili ya Elamu na watumishi wake

"Walimpatia Elamu vitanda na watumishi wake wote."

katikati ya wachinjaji

"pamoja na watu wote waliokuwa wameuawa."

Wote hawajatahiriwa

Wamisri waliwachukia watu ambao walikuwa wametahiriwa.

Elamu yu miongoni mwa wale waliokuwa wameuawa

"Maiti zilimpatia Elamu mahali kulala miongoni mwao wenyewe"