sw_tn/ezk/32/22.md

576 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kunena na Ezekieli kuhusu mataifa katika Sheoli.

Ashuru yupo huko pamoja na kusanyiko lake

"Watu wa Ashuru na jeshi lake lote wote wapo katika Sheoli"

wote waliuawa kwa upanga

"wote waliuawa kwa upanga" au "wote waliuawa katika mapigani"

yamewekwa katika maficho ya shimo

"yamewekwa katika sehemu ya chini kabisa ya shimo"

wote waliokuwa wameuawa, walioanguka kwa upanga

"wote ambao ni maadui waliuawa kwa upanga"

wale walioleta hofu juu ya nchi ya walio hai

"wale walisababisha watu katika nchi ya uhai kuogopa sana"