sw_tn/ezk/32/17.md

819 B

Kisha ikawa

Hili nenao limetumika kuonyesha mwanzoni mwa ujumbe.

katika mwaka wa kumi na mbili

"Hii ilitokea katika mwaka wa kumi na mbili baada ya Wababeli kuwachukua Waisraeli kwenda Babeli.

neno la Yahwe likaja

"Yahwe akanena neno lake."

Mwanadamu

Tazama tafsiri yake katika sura ya 2:1.

omboleza kwa ajili ya watumishi wa Misri

"lia kwa sauti kwa ajili ya jeshi la Misri"

walete chini-yeye na binti za mataifa mashuhuri

"itupe Misri chini na binti za mataifa mashuhuri chini"

binti za mataifa mashuhuri

"watu wa mataifa yenye nguvu"

chini ya nchi

"sehemu chini ya ardhi."

pamoja na wale walioshuka chini kwenye shimo

"pamoja na kila mmoja yeyote aliyekuwa amekufa na kwenda aridhini"

shimo

"shimo" inarejea kwa kaburi. Ni shimo katika aridhi ambayo watu huenda baada ya kufa.