sw_tn/ezk/32/13.md

498 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendela kunena

mifugo yote

Mifugo ni wanyama ambao watu wanao kwa ajili ya kula na kwa sababu nyingine. Ng'ombe, kondoo, na mbuzi vyote ni mifugo.

karibu na maji mengi

"kutoka mahali ambapo kuna maji mengi"

mguu wa mtu

"miguu ya watu"

Kisha nitayafanya maji kuwa masafi

"nitayafanya maji kuwa masafi."

fanya mito yao kukimbia kama mafuta

Mafuta hutiririka pole pole na laini.

hili ndilo tangazo la Yahwe

Tazama tafsiri yake katika sura ya 5:11.